Tangazo

January 1, 2012

Mtoto Suzana 'Suzy' Badi abatizwa katika Kanisa la KKKT -Dayosisi ya Iringa


Mtoto Suzana John Badi akibatizwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa Mjini  Desemba 26.2011, huku akiwa ameshikiliwa na Mama yake wa Ubatizo, Upendo na Baba wa Ubatizo, Reuben Nyagawa (kulia) na baadaye ukafuatia mnuso wa kukata na shoka huko nyumbani katika eneo la Wilolesi. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG-  IRINGA

Suzy akiwa na nondoz yake ya ubatizo huku akiwa na mama yake, Elizabeth na Bibi yake, Esther Nyimbo.

Bi. Suzy akii-display Nondoz yake ya Ubatizo.

Suzy akiwa amepozi wakati akisubiri muda wa mang'ato...

Wakati wa mang'ato uliwadia...

Suzy akiwa amepakatwa na Aunt wake, Liliani Badi huku Uncle wake, Kenny Manara akiwa pembene nyumbani katika eneo la Wilolesi Mjini Iringa.

Kutoka Kushoto: Uncle wa Suzy, Kenny Manara, Aunt Upendo, Bibi Esther Nyimbo na Aunt Lilian Badi

Picha ya pamoja baada ya mnuso huo wa kukata na shoka.

No comments: